Fee Structure
MAELEZO YA ADA NA GHARAMA NYINGINEZO
1. MAELEZO YA ADA
ADA YA KOZI NDEFU ZOTE ZA MWAKA MMOJA NA KUENDELEA ZITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
- ADA KWA MWAKA NI TSH.1,000,000.= AMBAYO ITALIPWA KWA AWAMU TATU;
- AWAMU YA 1: TSH.350,000
- AWAMU YA 2: TSH.350,000
- AWAMU YA 3: TSH.300,000
ADA YA KOZI FUPI ZOTE ZA MIEZI SITA ZITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
- ADA KWA MIEZI SITA NI TSH 600,000.= AMBAYO ITALIPWA KWA AWAMU MBILI
- AWAMU YA 1: TSH.300,000
- AWAMU YA 2: TSH.300,000
RESEATERS AND QT KWA MWAKA NI TSH 800,000
- AWAMU YA 1: TSH.400,000
- AWAMU YA 2: TSH.400,000
COMPUTER REPAIR & MAINTENANCE KWA MIEZI 6 NI TSH 800,000
- AWAMU YA 1: TSH.400,000
- AWAMU YA 2: TSH.400,000
ADA YA KOZI FUPI ZOTE ZA MIEZI MITATU ZITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
ADA KWA MIEZI MITATU NI TSH 300,000.= AMBAYO ITALIPWA KWA AWAMU MOJA
MAELEZO YA KOZI ZINAZOTOLEWA
- Ualimu wa malezi na makuzi (ualimu wa shule za awali) kozi ya miaka 2 pamoja na mazoezi
- Usaidizi wa ualimu wa malezi na makuzi KOZI YA MIEZI 12 pamoja na mazoezi
- Usimamizi wa hotelini(Hotel Management) kozi ya miaka 2 pamoja na mazoezi na kozi fupi ya miezi 6 na miezi 12 pamoja na mazoezi
- Kuongoza wageni (Tour Guide) kozi ya miaka 2 pamoja na mazoezi na kozi fupi ya miezi 6 na miezi 12 pamoja na mazoezi
- Secretarial course) kozi ya miaka 2 pamoja na mazoezi na kozi fupi ya miezi 6 na miezi 12 pamoja na mazoezi
- Computer Applications) kozi ya miaka 2 pamoja na mazoezi na kozi fupi ya miezi 3, 6 ,9 na miezi 12 pamoja na mazoezi
- Lugha kama English, French, kichina, Kijerumani, Hispaniola spanish n.k hizi ni kozi fupi za miezi 3,6 na kuendelea pamoja na mazoezi
- QT na reseaters kwa wale watakao jiunga na chuo wakiwa hawajatimiza ufaulu unaohitajika. Na darasa la saba watakaopenda kujiendeleza.
- Pre Form 1
- Upishi (food production) hizi ni kozi fupi za miezi 3,6 na kuendelea pamoja na mazoezi
- Mapambo na Ususi hizi ni kozi fupi za miezi 3,6 na kuendelea pamoja na mazoezi
- Ufundi cherehani hii ni kozi ya mwaka mmoja na kuendelea pamoja na mazoezi
- Ujasiriamali hizi ni kozi fupi za miezi 3,6 na kuendelea pamoja na mazoezi
- House keeping ni kozi fupi za miezi 3,6 na kuendelea pamoja na mazoezi
- Uandishi na utangazaji wa habari ni kozi fupi za miez 6 na kuendelea pamoja na mazoezi
- Computer Repair & Maintenance ni kozi fupi za miez 6 na kuendelea pamoja na mazoezi
2. GHARAMA NYINGINEZO
GHARAMA ZA BWENI/HOSTEL NI TSH 250 KWA SEMISTER ZIKO 2 KWA MWAKA.
KWA MIEZI 3 NI TSHS.200,000.=
UNIFORM NA HUDUMA NYINGINE ZOTE ZINAPATIKANA CHUONI
- UNIFORM STANDARD ZA DARASANI PAIR 2@50,000.= Jumla 100,000.=
- TSHIRT 15,000.=
- TRACK SUIT. 40,000.=
- MTIHANI KWA MWAKA 40,000.=
- BIMA YA AFYA. KWA WASIOKUWA NAYO 56,000.=
- CHAKULA KIZURI KWA SIKU (KINAPATIKANA CHUONI) 3,500.=
ZINGATIA
- VITANDA NA MAGODORO VINAPATTIKANA CHUONI
- VIFAA BINAFSI MWANAFUNZI AJE NAVYO AU ATAVIIPATA CHUONI KWA BEI YA SOKONI KAMA MASHUKA, STATIONARY, NDOO, SABUNI N.K